Polisi alikuwepo,Gari ndogo ilikuwa inapita kwa kasi sana ndio iliyomgonga na kumtupa kwenye Eitcher hiyo kwa Chini,amepasuka kichwa.May her soul rest in peace, traffic police anayevushaga watu hakuwepo?
Assumptions:
1.Ufinyu wa vituo vingi vya dala dala ni tatizo kubwa, inabidi vituo vijengwe kama kile cha mawasiliano (simu 2000).
2.pia dala dala nyingi zinaingia kwa mwendo wa kasi na Fuji nyingi vituoni.
3.pia na sisi abiri tunakaa bila tahadhari vituoni na kugombea magari wakati hayajasimama..
R.I.P wa kusoma.
Pale watu. Mida ya saa 12 asbh huwa wanashindana kuwahi foleni huku mbele kuanzia lugalo, so huwa panatisha kwa mtu makini, na ukijisahau pale siku yoyote ujue ni zamu yako ,Polisi alikuwepo,Gari ndogo ilikuwa inapita kwa kasi sana ndio iliyomgonga na kumtupa kwenye Eitcher hiyo kwa Chini,amepasuka kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto hajafaliki ila hali yake ni mbaya tunaomba msaada kwa alieshika number za hyo gari iliomgongaHabari wanabodi,
Gari imemgonga mwanafunzi wa kike na kufariki papo hapo, gari imekimbia, kwa sasa polisi ndio wanafika eneo la tukio.
View attachment 552314
Amegongwa mida ya 06:32 Asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini daah.Katoto ni hako jamani msaada kuipata hyo gari polisi wanasema hakuona number
Nyuma naonà picha ya ka bia ..matumaini anaendelea vzrKatoto ni hako jamani msaada kuipata hyo gari polisi wanasema hakuona number
Inawezekana alikuwepo,mishahara inafanya wafanye kazi nganganga!May her soul rest in peace, traffic police anayevushaga watu hakuwepo?