Dangote mnabadili siku ya interview?

damuth

Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Mimi ni mmoja wa watanzania mliotuita kwenye interview ya tarehe 21 sasa mbona mnazingua tena eti mmebadilisha halafu hamjasema itakuwa lini
eti mpaka mtakapo tutaarifu tena mnatupa hofu sana bana.

mi ninahofu nafasi yangu isije ikachakachuliwa ila nazidi kuomba Mungu tu (ewe mwenyezi MUNGU mjaalie mja wako huyu alieandika makala hii apate kazi yake nzuri tu Dangote).

Semeni wazi utakuwa lini tena tuondoeeni hofu bana maisha yanatutesa
 
Si ni tarehe 21 Jamani? au imebadika tena? nimetumiwa email jana kua interview ni tr 21 na mapema leo nimeandika barua yakuomba unpaid leave ya siku 7 ili niweze kuhudhuria interview hiyo J4, safari inaanza mapema kesho na basi la kampun ya Sumry, toka bukoba kwenda Dar then Dar to Mtwara J3. Nipeni iformation za ukweli bwana....
 

HATA MIMI NIMETUMIWA SMS KAMA HIYO JANA KUWA TAREHE 21/4 NDIYO INTERVIEW. NA MIMI NASHANGAA HUYO MWENZETU ANAYESEMA TAREHE IMEBADILISHWA. AMEPIGIWA SIMU KUWA IMEBADILISHWA AU KASIKIA TU TETESI MTU/WATU WAKISEMA HIVYO? MIMI NASHAURI NI KUFUATA ULICHOTUMIWA KWENYE E-MAIL UNLESS OTHERWISE INSTRUCTED......nachangia!
 

Wanmtuma mail ingine leo kuwainterview ni tr 22/04/2015 na sio il waliotuma jana ya tar 21;her terms and conditions remins te same as previous invatation
 
Wanmtuma mail ingine leo kuwainterview ni tr 22/04/2015 na sio il waliotuma jana ya tar 21;her terms and conditions remins te same as previous invatation

ok sawa kaka may be kuna batch 2 au zaid. mimi nimepigiwa na simu kabisa leo mchana na kwa mdomo wake mwenyewe yule dada kaniambia nina interview tarehe 21. mimi nadhani kila mtu afuate alichoelekezwa itakuwa vyema.
 

Mi nimepigiwa leo kwa mara ya kwanza nimeambiwa tar 22
 
mi nilitumiwa email mbili ya kwanza ya interview na ya pili hii hapa

DANGOTE INDUSTRIES LIMITED TANZANIA

--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
P. O BOX 1241------------------------------- --- -TEL. NO 0232334514------------ E-mail dil.tanzania@dangoteprojects.com
MTWARA----------- -------------------------------- FAX NO.0232334514------------ website Dangote Group ::: WELCOME
TANZANIA
16th April 2015

RE: POSTPONMENT OF INTERVIEW

Kindly refer to our letter dated 15th April 2015 inviting you to attend interview that could be held on 21st April 2015, we are sorry to inform you that the said interview has been postponed until further notice. Therefore all potential candidates will be informed again by email.

Any inconveniences are highly regretted.

Yours sincerely,

Gervas Chapalwa,
 
hii movie naifatilia kwa karibu sana... there is something fishy kwenye hii kitu!!!!
 
Just be faithfull my dear, wewe uliomba nafasi gani na una level gani ya elimu? Jibu tu ukweli maana hutahukumiwa kwa kusema ukwel.
 

iwe lini?

Wanmtuma mail ingine leo kuwainterview ni tr 22/04/2015 na sio il waliotuma jana ya tar 21;her terms and conditions remins te same as previous invatation

Just be faithfull my dear, wewe uliomba nafasi gani na una level gani ya elimu? Jibu tu ukweli maana hutahukumiwa kwa kusema ukwel.
kapumbiti fanya fasta urudi bhanaa maaana huku steel ball consumption zinazigua TAC na WAD analyser zinakusubiri wewe tuu.pop up za kufa mtu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…