Dangote live###

bnyanya

Senior Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
178
Reaction score
65
Ndugu wanajf....imagine...unapata fursa ya kuonana na Mr.Dangote kwa muda wa masaa kadhaa. Unadhani unaweza kua na mazungumzo gani nae??..utamweleza nini??
 
Ntamwambia awafukuze wachina wote Dangote-Mtwara...!!(Manake hadi vijiko wanaendesha wao)
 
Ivi kweli hakuna mawazo mazuri mpaka muda huu?
 
Dangote hana huo muda... ila kama kuna biashara mwambie ataishughulikia !!
 
ntamkaribisha akawekeze hata kwetu, madini kibao lkn hatuna vifaa...
 
Mkuu haya maswali huwa wanaulizwa watoto wadogo kwenye mashindano ya kuandika insha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…