Soma vizuriMbona husemi kama ni habari ya Nigeria?
Ana mpango wa kuanzisha hapa tz piaNigeria hiyo sio Tanzania mjomba.uwe unamaliza kusoma makala yote.
Msemaji wa dangoteAna mpango wa kuanzisha hapa tz pia
Dangote hatakaa apoteze tena mda wake kuja kuchimbia hela zake kwenye nchi iliyo na sera zinazo badilika badilika kama kinyongaAna mpango wa kuanzisha hapa tz pia
wewe unaona habari nzuri kuja kulimishwa mpunga na mtu wa nje kwenye nchi yako (ardhi yenu) wakati nyie mmeshikilia kulumbana na Chadema/siasa. PumbavuHabari mbaya sana kwa chadomo wapinga maendeleo lakini wanataka kushika dola hahaha sasa sijui wanafanya nini
Mimi nimesoma vizuri nimeona ni Nigeria na hakuma sehemu Tanzania imetajwa. Wewe tuoneshe ulipoona atajenga Tanzania au kwa sababu habari imeandikwa Kiswahili?Soma vizuri
Habari mbaya sana kwa chadomo wapinga maendeleo lakini wanataka kushika dola hahaha sasa sijui wanafanya nini
Hivi akili zenu huwa mnaziacha nje mkishaingia Jengo la Lumumba?? Dangote kulima Mpunga Nigeria kuna uhusiano gani na Chadema??Habari mbaya sana kwa chadomo wapinga maendeleo lakini wanataka kushika dola hahaha sasa sijui wanafanya nini
Halafu yeye anaendelea kubisha, na link kaleta mwenyewe. Ina maana yeye mwenyewe hakusoma alichokileta?View attachment 611686
Kabla hujaongea kitu hakikisha unakielewa, huu mradi unafanyika Nigeria kwa ajili ya ya Wanageria sisi tunapiga makofi huku....Mkapa hakukosea kutuita Wapumbavu!!