hichi kitu nilikihisi tangu zamani lakini nilishindwa kusema sababu sikuwa na uhakika ila kwa sasa inaweza kuwa kweli...
email ya kuaply kazi za dangote ilikua
recruittanzania@dangoteprojects.com ikimaanisha website yao wanatumia
www.dangoteprojects.com ambayo ipo lakini haina habari yoyote kuhusu kampuni sio contacts wala services ni template tu na ni website ya ajabu.
ukigoogle official website ya dangote ni
www.dangote.com ambayo ipo na inakila kitu kuhusu project za dangote!!!!
nachoona ni kuwa waliotuma application kupitia email iliowekwa kwenye gazeti wapo kwenye hatua nzuri tu ya kutapeliwa.... na cha kujiuliza inakuaje gazeti la serikali likatangaza kazi za kitapeli bila kuprove validity yao!!!!!
am stand to be corrected!!!!!