Nimeanza kum doubt Dangote...
Waziri mmoja Zambia kampa GM wake za uso baada ya kukataa kuchukua rushwa...
Afu Dangote anatishia kumshtak huyo waziri kwa defamation...like serious...
Mnigeria ni Mnigeria hata awe Bill Gate...
Naona hapa Tz atawaonga wengi tu...maana hakuna culture ya kukataa rushwa...