Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,154
Kwa taarifa yako mijitu kama hii hata haili!Wanatia hasara sana wa aina hii. Ya mlo na maintenance. Ukiwa na demu huyo gari kama vitz lazima kivunjike spring. Nguo lazima mita zizidi, kwenye maakuli usiseme, kitanda zaidi ya queen size yaani everything comes xxl.
te!te!te mkuu nipe siri ya utamu wa hao mabwenyenye.!!
Hao.., WAMOTOMOTO..Mkuu..hatari sana!!!
Kwa taarifa yako mijitu kama hii hata haili!
Wajua nikadhani ni aina mpya ya vibaka imeibuka...nikafungua ili na mimi nipate uelewa niweze kuwa na tahadhari.
Kumbe hawa, mbona hata kwetu wapo hawa?
Jamani kumbe uncle Mbuzi Mzee ni buzi?
Mkuu hawa ndo vibaka of choice.
Pochi unfungua mwenyewe, tena kwa ridhaa yako.
Baadaye unajilaumu.
Vibaja?! hawa ni zaidi ya majambazi, Ohooooo!Wajua nikadhani ni aina mpya
ya vibaka imeibuka...nikafungua ili na mimi nipate uelewa niweze kuwa na
tahadhari.
Kumbe hawa, mbona hata kwetu wapo hawa?
Sasa hapo utajilaumu nini wakati utakuwa umesha legeza nati?
mkuu wanaume tuna shida sana