M mchau Member Joined Nov 16, 2024 Posts 89 Reaction score 95 Jul 6, 2025 #1 ELIMU KWA WAFUGAJI Jinsi ya Kumjua mifugo wako Aliyeshika Mimba. Dalili za Mimba kwa mifugo Haoneshi dalili za joto – Hasimami kwa dume baada ya kupandwa Matiti huongezeka taratibu – Hujiandaa kunyonyesha Tumbo huongezeka ukubwa Huwa mpole na tulivu kuliko kawaida Kipimo cha Uhakika: Hakuna joto ndani ya siku 18–21? Inawezekana ameshika mimba. Kwa uhakika zaidi, wasiliana na daktari wa mifugo kwa uchunguzi wa kitaalamu. 📞 Wasiliana Nasi kwa Ushauri: Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo 📱 0674740836 | 0792263640
ELIMU KWA WAFUGAJI Jinsi ya Kumjua mifugo wako Aliyeshika Mimba. Dalili za Mimba kwa mifugo Haoneshi dalili za joto – Hasimami kwa dume baada ya kupandwa Matiti huongezeka taratibu – Hujiandaa kunyonyesha Tumbo huongezeka ukubwa Huwa mpole na tulivu kuliko kawaida Kipimo cha Uhakika: Hakuna joto ndani ya siku 18–21? Inawezekana ameshika mimba. Kwa uhakika zaidi, wasiliana na daktari wa mifugo kwa uchunguzi wa kitaalamu. 📞 Wasiliana Nasi kwa Ushauri: Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo 📱 0674740836 | 0792263640