Pole aseee
Haya magonjwa yaliisha baada ya ukimwi kupiga hodi Tanzania.
Unanikumbusha enzi zile watu wanaponea kwa wahaya maeneo ya Livingstone, Red cross na kule Maandazi street. enzi zile sh tano yaani dala unapiga kimoja saafi ukitoka hapo unasikilizia kama umepata gono au la. Ukishapiga mhaya nae anaipiga mashine maji yaliyo kwenya karai kama kinga ili usimuachie gono.

Hebu funguka zaidi nipo livingstone muda huu
Wewe umekuja mjini juzi, Livingstone tunayoongelea ni ya miaka ile, kuanzia Uhuru street mpaka kidongo chekundu, pale ilikua ni soko la papuchi, halafu lilipo jengo la red cross pale bibi titi na morogoro ilikua soko kubwa tu la papuchi. Sasa hivi zile nyumba sishauzwa na kujengwa magorofa kama unavyoliona red cross. Enzi zile hakuna cond.om wala nini, ulikua unapata mzigo nyama nyama.
Aya magonjwa ni aibu na kibaya usipoyatibu mtoto akizaliwa nae madhara yanampata mfano kaswende mtoto huzaliwa na vipere vipereGono(Gonorrhoea) = kisonono,
Syphilis = Kaswende