Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 335
Tunaweza kuzungumza PM ukipenda unieleze upo Chanika sehemu gani na shamba lina ukubwa wa square foot/meter ngapi ?nitafutie mteja wa shamba chanika
karibuu...Tunaweza kuzungumza PM ukipenda unieleze upo Chanika sehemu gani na shamba lina ukubwa wa square foot/meter ngapi ?
Cha kukusadia ungeweka namba yako hapa kwenye Uzi. Mambo ya PM achana nayo.Tunaweza kuzungumza PM ukipenda unieleze upo Chanika sehemu gani na shamba lina ukubwa wa square foot/meter ngapi ?
Ndugu zangu habari za saa hizi.
Nimetimiza miezi sita sasa sina kazi. Nimetumia taaluma yangu kutafuta kazi lakini jitihada zangu hazizalishi matumaini. Shida ni kwamba sipo peke yangu nina mtoto ananitegemea.
Nimeamua nijiajiri kama dalali wa nyumba na viwanja. Kiukweli sijawahi kufanya hii kazi lakini waswahili wana msemo wao unasema 'njaa ni mwalimu'. Nipo tayari kupokea maelekezo ya mambo yote ninayopaswa kuyajua kabla ya kufanya hii kazi.
Lakini ikiwa pia kuna dalali anahitaji mtu wa kumsaidia au kushirikiana nae nipo tayari ili nipate uzoefu ninaouhitaji.
Kwa sasa nipo Temeke lakini naweza kufanya kazi hii katika wilaya yoyote ile Dar es salaam.
Madalali wazoefu na wabobezi kwenye hii kazi naombeni muongozo wenu (au hata kampani mkipenda) ili nami niijue hii kazi. Namie mkono wangu uende kinywani badala ya kichwani au shavuni.
Natanguliza shukrani kwa wote watakaonisaidia kwa dhati kabisa.
Asante sana kwa ushauri wako.Usiweke tamaa mbele tu, watu siku hizi hawawapendi sababu ya tamaa zenu za kijingajinga mara mpewe kodi ya mwezi, katika viwanja mnakula hata mara 2 ya muuzaji
Ushauri: tengeneza group za whatsapp weka watu jitofautishe na wenzio
Kuroga ukimaanisha masuala ya kishirikina ?. Mimi siamini katika katika mambo ya kishirikina.Daniel Adrian
kazi ya udalali sio sawa na kazi ya ofisini
dont give it 100% assurance kwamba ndio kazi ya kukuweka mjini, No!
udalali unaweza kaa hata miezi mitatu huna tenda, especially kwa beginners kama wewe!
mimi wakati naanza hii kazi, nilianzia kuuza simu, hii ndio the fastest way ya kukupa hela!
Otherwise sisi madalali tunaroga sana,
Kuna wateja wanatuzungusha mnooo, so bila kuroga sana hatufanyi biashara!
kuna mtu ananunua nyumba baadae anajiuliza nimenunuaje hapaπ π π π€£π€£
mungu anawaonaa.... ila dalali kwa nini leo unaweza fanya dili ukapata pesa ila kesho yake ukaja huna ata mia ? kwa niniDaniel Adrian
kazi ya udalali sio sawa na kazi ya ofisini
dont give it 100% assurance kwamba ndio kazi ya kukuweka mjini, No!
udalali unaweza kaa hata miezi mitatu huna tenda, especially kwa beginners kama wewe!
mimi wakati naanza hii kazi, nilianzia kuuza simu, hii ndio the fastest way ya kukupa hela!
Otherwise sisi madalali tunaroga sana,
Kuna wateja wanatuzungusha mnooo, so bila kuroga sana hatufanyi biashara!
kuna mtu ananunua nyumba baadae anajiuliza nimenunuaje hapaπ π π π€£π€£
pesa ya dalali ni kama pesa ya watu wa migodini au watu wa tour guide..mungu anawaonaa.... ila dalali kwa nini leo unaweza fanya dili ukapata pesa ila kesho yake ukaja huna ata mia ? kwa nini
nimekuelewaapesa ya dalali ni kama pesa ya watu wa migodini au watu wa tour guide..
Easy come, easy go!
japo sio kwa wote mfano mimj kila ninapofanya biashara ya kuuza kitu flani huwa natunza hela katika account yangu ya ππππππ πππππ. Pesa siitoi mpaka ifike kiwango flani chenye uwezo wa kufanya kitu cha kuonekana.
Mfano wakati niko Dar nilishajiapia kodi ya nyumba haitatoka kwenye mshahara wangu, I was dealong with small things
ni udalali mwanzo mwisho!