P Pakurumo New Member Joined Sep 17, 2016 Posts 3 Reaction score 3 Nov 26, 2016 #1 Natafuta nyumba ya haraka Tanga mjini iwe ya vyumba viwili au vitatu master, nmehamishiwa kikazi huko kama kuna dalali mzoefu kwa humu naomba anitafute kwa direct text humu au atume mawasiliano yake ntamtafuta mm..
Natafuta nyumba ya haraka Tanga mjini iwe ya vyumba viwili au vitatu master, nmehamishiwa kikazi huko kama kuna dalali mzoefu kwa humu naomba anitafute kwa direct text humu au atume mawasiliano yake ntamtafuta mm..
G gambagumu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,340 Reaction score 3,168 Nov 26, 2016 #2 Unataka nyumba sehemu gani na bajet yako sh ngapi?
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,113 Nov 26, 2016 #3 Kuna Dalali mmoja pale Garden ya madalali maarufu kwa jina la "Dude" atakutafutia. Garden hiyo ipo karibu na kituo cha daladala cha 'hostel'
Kuna Dalali mmoja pale Garden ya madalali maarufu kwa jina la "Dude" atakutafutia. Garden hiyo ipo karibu na kituo cha daladala cha 'hostel'