Dalali wa nyumba na viwanja

Dalali wa nyumba na viwanja

Playman

Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
67
Reaction score
18
Karibu wadau zangu. Tupo kukusaidia Wewe kupata Nyumba nzuri naViwanja vizuri kwa Kupanga ama Kununua ndani Dar es salaam.

Ikiwa una uhitaji wa nyumba ya Kupanga au kununua ama una uhitaji wa kiwanja cha kununua, basi usisite kututafuta kwa namba 0742141467 au 0716442950

Karibu tukuhudumie
 
Hii Apartment ipo Mbezibeach
Nyumba 2(1self), Sebule, Jiko, Choo cha wageni.
Maji ya dawasa 24hrs, Fensi, Parking ya gari, luku yake

Karibu Tukuhudumie (0742141467)
IMG_20210324_124212_073.jpg
View attachment 1733260View attachment 1733263View attachment 1733262
 
Tuna Vyumba vya Kupanga Mbezibeach
1. Chumba Sebule choo, ina tiles, gypsum, maji dawasa. Tshs 150,000 Kwa Mwezi
2. Chumba na Sebule, Tshs 100,000 Kwa Mwezi
3. Chumba Singo, Tshs 60,000 Kwa Mwezi

Karibu Tukuhudumie 0742141467
 
KIWANJA KINAUZWA MBEZI MSUMI
Ukubwa: 400 Mita za mraba ( 20×20 )
Eneo lina huduma ya umeme na Maji, barabara nzuri na limepimwa.

Bei Tshs Milioni 7 ( Maelewano )

Karibu : 0742141467
FB_IMG_16166754772946325.jpg
 
INAPANGISHWA: NYUMBA(APARTMENT) VYUMBA VIWILI.
Mahali- Mbezibeach
Bei- Tshs 300,000

Ina:-
Vyumba viwili vya Kulala (Kimoja kikiwa ni Chumba Masta), pamoja na sebule, choo cha wageni na Jiko.
Uzio na geti, maji ya dawasa, Umeme luku yake yenyewe, eneo la kuegesha gari, ipo umbali wa dakika tano kutembea hadi kituoni.

Tuwasiliane: 0742141467 au 0716442950View attachment 1752631View attachment 1752632
IMG_20210408_192724_602.jpg
View attachment 1752633
 
INAPANGISHWA: NYUMBA VYUMBA VIWILI.
Mahali- Mbezibeach
Bei- Tshs 300,000

Ina:-
Vyumba viwili vya Kulala (Kimoja kikiwa ni Chumba Masta), pamoja na sebule, choo cha wageni na Jiko.
Uzio na geti, maji ya dawasa, Umeme luku yake yenyewe, eneo la kuegesha gari, ipo umbali wa dakika tano kutembea hadi kituoni.

Tuwasiliane: 0742141467 au 0716442950
IMG_20210408_122304_435.jpg
View attachment 1752650View attachment 1752651
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom