Vyumba vipo kibao ila Kwa pale Tanganyika huwezi pata.Natafuta chumba Mwanza mjini naomba dalali alieko Mwanza anitafute nahitaji chumba pale mwanza mjini makoroboi au karibu na stendi ya zamani Tanganyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja aje huyu nyumbanzuribeinzuriNatafuta chumba Mwanza mjini naomba dalali alieko Mwanza anitafute nahitaji chumba pale mwanza mjini makoroboi au karibu na stendi ya zamani Tanganyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona vyumba vipo vingi sana ata akuna cha dalali kama mtaa wa lumumba vyumba vingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiliana na huyo jamaaNatafuta chumba Mwanza mjini naomba dalali alieko Mwanza anitafute nahitaji chumba pale mwanza mjini makoroboi au karibu na stendi ya zamani Tanganyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza bhana Flem zipo niliuliza juz juz hapa bei zao 6M 7m 10m kwa mwaka ila madalali sasa Dah wanakomaa Kinyama Kuna jengo fulani rumumba limejengwa upande wa ile super market zile flem za barabarani Dalali anasema 40M cash kwa mwaka Bila Aibu afu anakwambia mwaka ujao utalipa 15M kwa mwaka afu 25M anasema ni Yao Ya Kirenba na Kuingilio cha kujiungia apunguzi ata buku afu baba zima limekalia udalali tu pumbavu kabisa.
Hivi hawa madalali wapo kisheria, maana naona ni kama watakatishaji na wahujumu uchumi, wanakula pesa ya bure.Duh!unakua unauza nn hizo bei jaman!khaa siwapend madalali mm!
Hivi hawa madalali wapo kisheria, maana naona ni kama watakatishaji na wahujumu uchumi, wanakula pesa ya bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza bhana Flem zipo niliuliza juz juz hapa bei zao 6M 7m 10m kwa mwaka ila madalali sasa Dah wanakomaa Kinyama Kuna jengo fulani rumumba limejengwa upande wa ile super market zile flem za barabarani Dalali anasema 40M cash kwa mwaka Bila Aibu afu anakwambia mwaka ujao utalipa 15M kwa mwaka afu 25M anasema ni Yao Ya Kirenba na Kuingilio cha kujiungia apunguzi ata buku afu baba zima limekalia udalali tu pumbavu kabisa.
Kaka nikutafute tusaidiane kupata chumba?Vyumba vipo kibao ila Kwa pale Tanganyika huwezi pata.
coz kuna ujenzi wa soko kuu eneo lote limezungushwa mabati