Panda gari za gongo la mboto msasani, ukifika morocco ushuke upande za kawe, au upande zinazokwenda makumbusho zinazopita buguruni. Shuka buguruni chukua gari za kawe.
panda gongo la mboto makumbusho, ukifika makumbusho panda gari ya kwenda kawe ukifika kawe kama huna nauli pita nyuma ya tanzania packers vuka barabara ya mtongani utaanza kusikia upepo wa beach!
Nimependa hiyo ila kama ni kwa nia nzuri maana imenipa wazo la kuanzisha the Hitchhiking Forum au JF waanzishe kipengele hicho kama kuna mwenye mawazo zaidi(kama) hayo aniambie nimpe mchango
panda gongo la mboto makumbusho, ukifika makumbusho panda gari ya kwenda kawe ukifika kawe kama huna nauli pita nyuma ya tanzania packers vuka barabara ya mtongani utaanza kusikia upepo wa beach!
Kwanza mtoa mada hayuko specific anataka kwenda eneo gani, kawe club, velissa, piccolo au msasani beach..tungejua destination yake ingekua rahisi sana kumsaidia!
Gongo la mboto msasani kisha shuka moroco, panda gari za kawe shuka kituo kinaitwa maringo kisha kutoka maringo utaweza kumalizia safari yako na bajaj (ili uoshe) au utaenda mdogo mdogo sio mbali, kumbuka kuwa mwangalifu wakati wa kuvuka bara bara.
Kwanza mtoa mada hayuko specific anataka kwenda eneo gani, kawe club, velissa, piccolo au msasani beach..tungejua destination yake ingekua rahisi sana kumsaidia!
Ndomana nilijaribu kumfanya mtoa lift aone huruma, kumtoa mtu g'mboto mpaka river side halafu akifika pale kwa bahati mbaya akute hayupo online si atalia jamani? Anyway kama anaepewa lift ataridhia its okay.