Daladala za Kawe-Mbagala-Kisemvule !

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,327
Reaction score
26,864
Daladala za Mbagala-Kawe-Masaki na Kisemvule , Eicher zinabeba watu 70 kuendelea:

Huko Mwanza wamekata Eicher ya Msukuma, itaisha lakini vipi kuhusu Dar, ina maana huwa hawaoni?

Tusubiri vifo tutoe pole !
 

Attachments

  • IMG_3250.jpeg
    231 KB · Views: 1
Hakuna daladala inayobeba level seat, kama ipo nionyesheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…