ahahahah yu are nuts!kha!weka picha!
Mie Karucee bwana nimeona haka ka bra kapya nikavae
Dah, ngachoka mie.Yameshakukuta ukaumbuliwa na nguo ya ndani?
Mie Karucee bwana nimeona haka ka bra kapya nikavae kazini. Si unajua tena kipya? Ee bwana nakomaje? Nisiiname nyonyo inachomoka chup chup. Nimejitahidi kubadili style ya kuinama imeshinikana. Safari za washroom zimezidi ku adjust hizi twins.Halafu sasa kuna mtu mmoja nahisi ameona na badala ya aniambie nashangaa why is fulani smiling sheepishly? Kuja kustuka anafaidi na bonge la smile. Jinga. I wish ipo siku aumbuke aache fly yake wazi na mie nijichekee but I might be surprised niangue kilio.
Siku ingine sikubali ng'o. Nitavaa new bra nyumbani nigaregare weeeee nipige pushups weeeee. Hawa mapacha wasipo chomoka basi nitavaa kazini. Damn. Infact to be on the safe side in future hata chupi nitaifanyia testing. Nikae kila mkao. Ninyanyuke, nigaregare isipozama bonde la ufa basi imepasi kuvaliwa kazini. Hizo za kuchomoka ma kuzama nitamwachia baba yoyo weekend.
Dah, ngachoka mie.Yameshakukuta ukaumbuliwa na nguo ya ndani?
weka picha!
ahahahaaaaa umenchekesha sana mdada loooh pole kwa zoezi hilo shida inakuja hasa pale unapokuwa juu yake umevaa blouse transparent so nyonyo ikitoke nje ya bra inaonekana heheheheeee sikupatii picha looh
Hii ya kujaribu nguo za ndani kabla ya kuzivaa mahali pengine sio tu kazini hata kwenye sherehe mtu waweza umbuka hivihivi au ukaumwa gafla. Mie nilishakumbwa na tatizo la viatu tangu nivinunue sijavivaa zaidi ya kuvijaribu dukani na kuhakiki vinanitosha (ni viatu vya kuvaa kwenye hafla hasa za usiku) siku ya siku nikapata mtoko kinavivaa weee ile kufika tuu nikaanza kujidai na kuzunguka huku na huku na kucheza kwaito kwa sana bila kupumzika, sikuchukua round bana miguu ikaanza kupinda kama mtu mwenye matege ya mabano-() yaani vilikuwa virefu, japo huwa navaa viatu virefu zaidi ya hivyo ila cha moto nilikiona ilibidi hadi chakula nikachukuliwe na saa ya kuondoka nilivibeba viatu mkononi hadi kwenye gari, hubby alinichekaje.............???
Pole sana Karucee ila pia huwa najiuliza, mtu ukienda kununua hizi nguo unatakiwa kuzijaribu ili uhakiki kama imekutosha na kuna vyumba vinakuwa vimewekwa special vya kubadilia nguo, yaani unavua ulizokuja nazo na unavaa ile mpya ukiona fit ndo unanunua, huwa najiuliza kwenye maduka ya makufuli na bra inakuweje? unaruhusiwa kuvua uliyovaa nauvae hiyo mpya kwa kuijaribu kisha unatembea tembea hapo dukani kuona kama inakukaa sawa unainama au kunyoosha miguu, kuruka kisha ukikuta inafyanta sana unaomba ingine na ile unarudisha?
Halafu nakerwa sana mtu anaponiquote na kunimention pia, maana tunajaziana unnecessary notification.Regardless, the topic continues Matola
Halafu nakerwa sana mtu anaponiquote na kunimention pia, maana tunajaziana unnecessary notification.
If you quote me then don't mention me, you can just write Matola is enough