"Dah!,mi sijui itakuwaje!!"

Joined
Jun 29, 2013
Posts
38
Reaction score
1
Kwa uchunguzi nilioufanya,nimegundua kwamba ofisi nyingi za serikali mfano,Ofisi za kata,Wilaya n.k zimepakwa rangi ya bendera ya Chama Cha Mapinduzi.Sasa napenda kuuliza swali ya kwamba,Ina maanda mwaka 2015 chama kingine kikiingia madarakani nacho kitajenga ofisi zenye rangi za bendera yao?
 
Hakuna chama kingine kitakachoingia madarakani anytime soon...
 
aiseeee babayangu chadema ikiingia madarakani inafuta rangi za c c m inapaka rangi za bendera ya tanganyika endepo kutakuwa na serekali 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…