kweli hapa ni patamu bhanaaaa, baada ya wiiki ukibrowse tu, free enternet hacked.
mara e2themia mara nani utasikia ya TIGO, MARA YA VODA, airtel na TTCL ndo BADO. yani mara ya mwisho kujiunga na bundle sijui ilikuwa mwaka gani. na za bure zina speed yani ni shaaaaaa! 2MBPS,3MBPS, Wengine 9MBPS. mpaka unachoka cha kudownload. komputer yangu imejaa DOWNLOADS, MPAKA NIFUTE NDO UNADOWNLOAD NYINGINE.
LONG LIVE Tech, Gadgets & Science Forum LONG LIVE JF.
we umeamua kuturusha roho tu hakuna free internet yenye speed hiyo kama ipo iweke hapa tuhakikishe hizo free internet zote zinazo tolewa hapa ni mwendo wa kobe tu
hiyoooo hapo chini View attachment 47070ni modem ya safaricom, dashboard ya tigo line kama inavyojisoma hapo. operating systems ni windows 7 , 32bit edition, ila mie nipo maeneo ya wazi na nadhani sina wapinzani.(sina watumizi wengi majirani) kwani nipo kwenye slam area.