Dah!jamani

have me baby

Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
8
Reaction score
0
mimi naishanga sana tena sana hasa hii serekali yetu,kwanini wanawasumbua hivi hawa wazee estiafrika kwanini hawawapi hizo pesa zao jamani,kilasiku wanawazinguatu hembu nisaidieni jamani KWANINI?wazee wamechoka jamani wapeni haki yao....PUMBAVU.
 
wazee wamesha lipwa, ila pesa ikaisha kabla haijawafikia.
 
kwanini zisiwafikie walengwa?nakama hazijawafikia sasa zipo wapi mpaka sasa?
 
ndo ibdi wpewe mkwnja wao na waliokla wanyongwe hta kama kaacha kaz kwng yeye ndo kikwazo....daamn!?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…