Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
WEWE NI mgeni kwenye usakaji wa ajira. Itunze hii post ya jamaa utakuja muelewaLete ushahidi mkuu vinginevo mim sikuelewi kabisa
WEWE NI mgeni kwenye usakaji wa ajira. Itunze hii post ya jamaa utakuja muelewa
hata kama ni mgeni suala la kutaka ushahidi liko pale pale ndiyo mana mnakosa kazi halafu mnaanza kulalamika lete ushahidi hapa,mnajibu maswali hovyo kwenye interview bdae mnaanza lalamika.
acha kuhema mdogo wangu,bdo hujaiva katika maswala ya kazi,subir upate ndiyo uanze kutoa kisauti,tulia prince Akeemnani hana kazi. vitu tumia akili ya kuzaliwa
tume ya hajira hamna upendeleo
hata kama ni mgeni suala la kutaka ushahidi liko pale pale ndiyo mana mnakosa kazi halafu mnaanza kulalamika lete ushahidi hapa,mnajibu maswali hovyo kwenye interview bdae mnaanza lalamika.
mimi ni moja wa vijana tuliotoka mikoa ya mbali kuja kufanya intervies nssf... ila kuja kujua wanaitana kindugu na nimetoka mbaliii nimesikitika sanaaa... ushauri wangu ni kuwa siku nyinginee waweke vigezooo vya unduguuu kama added advantage sitolaumuu... vijana wengi hawana ajira wala kipato kuwatoa mikoani uje uwape ndugu, marafiki na watoto wa vigogo wa nssf ni ukatili sanaa.. kuweni na huruma na utendaji mzuri wa kaziii kama maadili yanavyotakaaa... na mlivyo wasiriii ni vigumu kwa watu kuwaumbua ila mngetoa shortlist naamini mngeumbuka sanaaaa zaidi ya uhamiajiii... hili ni shirika la mfuko wa wana nssf na sio jamiii

Hukuzaliwa na hukusoma ili uje kufanya kazi Nssf. Tafuta kwingine si uwezo na sifa unazo?..wewe umekua nani ndio mpaka upewe kazi hata kama umeshindwa usaili?