Leonardchama7 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,964 Reaction score 4,052 Feb 26, 2019 #21 Mkuu sometimes wadada wanaakili sana,pengine alijiongeza tu baada ya kuona anaenda kuliwa Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sometimes wadada wanaakili sana,pengine alijiongeza tu baada ya kuona anaenda kuliwa Sent using Jamii Forums mobile app
pirates lil JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 958 Reaction score 915 Feb 26, 2019 #22 Ako Kwaang said: We kula tu. Tena jini mahaba likinguruma kula tena mzigo. Ila hakikisha kila ukilala usiku uwe umefunga mfupa wa kitimoto kiunoni. Mfupa wa taya huwa na matokeo mazuri zaidi, hasa kama meno yote yapo!! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Ako Kwaang said: We kula tu. Tena jini mahaba likinguruma kula tena mzigo. Ila hakikisha kila ukilala usiku uwe umefunga mfupa wa kitimoto kiunoni. Mfupa wa taya huwa na matokeo mazuri zaidi, hasa kama meno yote yapo!! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app