stanslous theobard
Member
- May 7, 2017
- 27
- 2
Mkuu hebu naomba ufafanue bei vizuri.
pakiti moja ya gram mia ni 1000 ....ukinunua kuanzia pakiti 40 bei inakua 850 plus Free delivery kwa wakaz wa dar
Weka picha ya hiyo pakiti tuone
alitaka mchanganuo wa bei hakutaka kujua pakiti ya dagaa inatosha idadi wa watu wangapi.......nashukuru pia kwa mawazo yako ntayafanyia kazi.....SHUKRANIWewe tafuta mtu wa marketing maana hiyo kazi ya kuelewesha mteja huiwezi..umeng'ang'ania tu pakti ya gram mia ni 1000..sa hyo gram mia ujazo wake upoje nikiagiza wa buku na familia yangu ya watu 7 litatosha? .jipange ufanye biashara
your welcome bosssawa sawa mkuu
Thanks Mr.your welcome boss
Ujazo unamaanisha nini? Umeambiwa gram(uzito) wewe unataka ujazo kwa maana ya volume?Wewe tafuta mtu wa marketing maana hiyo kazi ya kuelewesha mteja huiwezi..umeng'ang'ania tu pakti ya gram mia ni 1000..sa hyo gram mia ujazo wake upoje nikiagiza wa buku na familia yangu ya watu 7 litatosha? .jipange ufanye biashara
Ujazo unamaanisha nini? Umeambiwa gram(uzito) wewe unataka ujazo kwa maana ya volume?
Ushawahi jua ujazo wa kilo(gram 1000) ya sukari?
Yeye hawezi jua familia yako mnakula kama mamodo au makuli
Ngumu kwako..ni sawasawa na kusema hela hamna na wakat kuna watu wanapesa bado sena kwa upande wako..Wewe ndio wale wale..yeye katoa tangazo la bishara wateja wawili wamakuja na maswali mmoja anataka kuona package kwa picha Mwingine anaomba zaidi ufafanuzi sasa hapo ujanja wa biashara ilitakiwa either atume picha za kutosha mteja ajionee mwenyewe na la pili kutoa ufafanuzi zaidi wa hiyo bei na sio kuendelea kung'ang'ania tu kuwa gram ni sh 1000 na kumuachia mteja assignment ya kukokotoa uzito...sasa we endelea kumpumvaza mwenzio aendelee kubishana na wateja tu..tena biashara ilivyo ngumu sa hivi
sjabishana na mteja.....ndo mana nimemjibu kaelewa we kichwa ngumu endelea kutaka unachotakaWewe ndio wale wale..yeye katoa tangazo la bishara wateja wawili wamakuja na maswali mmoja anataka kuona package kwa picha Mwingine anaomba zaidi ufafanuzi sasa hapo ujanja wa biashara ilitakiwa either atume picha za kutosha mteja ajionee mwenyewe na la pili kutoa ufafanuzi zaidi wa hiyo bei na sio kuendelea kung'ang'ania tu kuwa gram ni sh 1000 na kumuachia mteja assignment ya kukokotoa uzito...sasa we endelea kumpumvaza mwenzio aendelee kubishana na wateja tu..tena biashara ilivyo ngumu sa hivi