Daftari la BVR

Magomamh'ingo

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
31
Reaction score
6
Wakuu nipo kituo cha kujiandikisha daftari la kupigia kura. Nimefika saa Nane na dakika kumi, nimekuwa mtu wa 40! Mpaka muda huu tayari kuna watu takribani 150! Nipo Kisiwani shule ya msingi, Kigamboni Dar es salaam. Vip huko kwenu?
 
Dah Mkuu mi hata sielewi tunajiandikisha wapi, aisee mitihani imechacha mpaka sio vizuri lakini leo ntakomaa nao tu
 
Jitahidi kamanda hili upate haki yako mkuu unaonekana unaipenda sana nchi yako.its only you,you can make changes in your country sir.


swissme
 
Huku kibamba wameweka na mzani kwenye chumba kujiandikisha cjaelewa kwanini
 
Hapa kizuiani - mbagala nimefika saa 7 nipo wa 60 tumeambiwa tuje kesho leo ni wajana na wapo 268
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…