Unamuomba namba vizuri tena kwa ustaarabu anakupa baadae ukimpigia simu hapokei au anaanza kukuuliza wewe nani kwani,ukijieleza anasema eti sikufahamu. Hilo la kwenye Gari ndio mchezo wao huo,yaani unaongea nae vizuri kwa sauti ya chini ambayo yeye anakusikia kabisa
badala yake yeye anakujibu kashfa tena kwa sauti ya juu kabisa. Kuna mshkaji mmoja alijibiwa ''Bwana wee usinisumbue huko''jamaa akajibu kwa sauti ya juu ''kama umejamba nisikwambie wee vipi'',demu alipata aibu mbaya ikabidi ashuke kituo kinachofuata.