da!! Wabongo ni Noma aisee!!!

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
286
Wazungu walitengeneza mtambo wa kuesabu idadi ya vibaka na wezi katika nchi.mtambo ukaletwa Afrika kufanyiwa majaribio}Nchi ya kwanza ilikuwa Nigeria mtambo ukasoma vibaka&wezi 900000/minute,Uganda 987520/minute,Kenya 874529/minute.wakaamua waje Tanzania ILE UMEFUNGWA BONGO TU NDANI YA SEKUNDE 30 KWENDA KUANGALIA UMEFIKIA WAPI WALIBAKI VINYWA WAZI MAANA MTAMBO WENYEWE ULISHAIBIWA KITAMBO!!! Zoezi likasimamishwa.
 
ha ha ha ha ah ah aha ha haahh, research yao itakuwa imeonyesha mafanikio makubwa hapa Tanzania
 
mwisho wa research uliwa ndo huo maana maevidence yote waliyapata Tz
 
Kulikuwa na thread kama hii yenye title: 'MASHINE YA KUKAMATA WEZI TOKA JAPAN' ya Angel Nylon.Kwa hiyo thread hii ya DavidHard haina kipya cha kuburudisha
 
we mwenyewe ndo boya badala ya kuweka thread unakariri zinazowekwa na wenzio boya wwe
 
we mwenyewe ndo boya badala ya kuweka thread unakariri zinazowekwa na wenzio boya wwe

Kukariri au kukumbuka? Thread ya Angel Nylon sikuikariri ila naikumbuka jinsi ilivyofanana na yako.Na boya zakaa baharini mie nchi kavu. ntafutie jina lingine, boya halifai.
 
Kulikuwa na thread kama hii yenye title: 'MASHINE YA KUKAMATA WEZI TOKA JAPAN' ya Angel Nylon.Kwa hiyo thread hii ya DavidHard haina kipya cha kuburudisha

UMEONA EEH! yaani kwa nini wana jf 2siwe update jamani? aaaagh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…