kwa kawaida router za kawaida (cloudless ) ni kwamba unatumia local ip: 192.168.x.x unaingiza kwenye browser ya PC mojawapo ambayo imeungwa na iyo router kisha uta fanya set up zote ( apa namaanisha utaseti WPA logins, uta monitor firewalls, uta set DHCP pia na nakucheki site(traffic) ambazo 'users' wanaziperuzi, hapa utaitaji uwe karibu na router ( LAN )
kwa Cloud router ( utapata logins then utaingia
mydlink: Watch what matters kwa D-Link routers ) then set up zote utafanya kupitia iyo site yao, POPOTE ULIPO huitaji uwe karib na router yako.