kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
maana simuoni akiandikwa andikwa magazetini ...
wazeya leo mdau wenu nimeenda kupima HIV !
duh kweli umaarufu unahitaji jitihada maana mwanangu mwenyewe Cyril Kamikaze anajua najulikaaaana kumbe doh!!! poleh yake.....
ni kijana mmoja hivi yupo kundi moja na JUX wanajiita WAKACHAA...... anajiitaga Singida boy....... kanyimbo kake flan hivi kalikuaga kataaam sana sijui "najua mmenimiss saana watu wangu wa kitaaa...............
nikajua umekwenda kuwapokea Spain
Kuna kijana mmoja anaitwa Robert Michael,asili yake ni mmakonde wa Lipalwe,Tandahimba.Nasikia anacheza sana sindimba.
Anayejua zaidi kuhusu huyu jamaa anijuze.......
ahaaa.. huyu jamaa kafulia, siku hizi ni houseboy wa Lemutuz le big show