Ni kweli unachosema,
Something has to be done, ila najiona kama nimechelewa kuquestion uhalali wa hawa jamaa leo, nadhan ni kitu ambacho hatukupaswa kukiruhusu tangu mwanzo, pengine ingesaidia kuleta balance katika bunge, mambo ya mtu anaewakilisha walemavu wa CCM badala ya kuleta mtu anaewakilisha walemavu wa Tanzania ndo madhara yake tumeyaona.
The blood price question is Tutafanya nini??