trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
ndio wale wale tu sema tofauti ni mmoja wa chadema na mwingine wa ccm ndio mana unatapa tapa kujaribu kumficha wa chadema kutokana na kuzidiwa na mapenzi ya chama kupita kiasi tu
Mkuu, mbona hujaitendea haki akili yako, nifafanulie uongo wangu nishawishwe na elimu ya kukariri. Shule tunapata elimu ya kufunzwa na wengine, maisha yanahitaji tuwe na akili ya ubunifu na kujiongeza.acha uongo wako,unamdanganya jamaa badala ya kumshauri ajiendeleze kielimu,mbona wewe umesoma vizuri na watoto wako unasomesha kwa bidii kamaelimu haina mpango kwa maisha ya sasa na yajayo unahangaika nini?!!
Kinachojadiliwa sio uwezo wa pesa isipokuwa uwezo wa kuchanganua mambo na kukabiliana na mazingira yetu na matatizo ya jamii.Pesa na politics ni vitu viwili ambavyo haviitaji sana elimu ...kuna maprof kibao ambao hata kuongoza familia zao ni matatizo
Kati ya V nyerere na mwanasheria mkuu wa serikali nani anaonekana mbumbumbu mbeld ya jamii?
Kati ya V nyerere na mwanasheria mkuu wa serikali nani anaonekana mbumbumbu mbeld ya jamii?
Kati ya V nyerere na mwanasheria mkuu wa serikali nani anaonekana mbumbumbu mbeld ya jamii?
Tatizo la chadema ni safu nyembamba ya uongozi-samuel sitta.
Ndio mana mtu yeyote anaweza kuokotwa na kupachikwa ili mradi mambo yaende,rejea walivyomuokota John Shibuda leo anawahangaisha,yote hiyo ni kutokua na watu,sasa huyu kilaza anaweza kuwa na mchango gani zaidi ya kushawishi maandamano,kususa na migomo,mtu hana vision yupo yupo tu kisa nyerere family,poor chama cha masalia!
Habari ndio hiyo mkuu!!!Jamani ina maana JF wote ni upinzan kiasi mtu akipost CV za CCM wanacheka na ku comment in respect of their performance in the government.ILA ikiwa ya mwana upinzani ni kejeli,ooooh ulitaka wae na PH.D, umeshindwa la kufanya na mengine mengi negative. je JF ni kwa ajili ya kuwafumbia wapinzani na kuwaanika CCM?
Kati ya V nyerere na mwanasheria mkuu wa serikali nani anaonekana mbumbumbu mbeld ya jamii?
Shida iko wapi?
Mkapa anaifahamu CV yake vyema!