ukitaka kuenjoy cyanogen na rom kari kama omni na zingine basi achana na tecno..tafuta brand za maana kama samsung lg htc na zingine kubwa.Habari zenu waungwana!
Kichwa cha habari hapo juu chahusika sana.
Ninatumia TECNO L6, MediaTeck (MT6582), Android 4.4.2.
Nahitaji kubadilisha ROM kutoka Stock kwenda Custom ROM zenye higher version kama Lollipop n.k.
Lkn nahitaji ushauri kuhusu CUSTOM ROM itakayofaa, Bora na mzuri kwa simu yangu.
Pia ningependa kufahamu kama Custom Roms za CYANOGENMOD, OMNI ROM, n.k zinaweza kukubali kwenye simu yangu?
...
Shukran!
Zipo mkuu!Hamna Custom rom za cyanogenmod kwenye simu zenye Mediateck Soc
Brand sio factor ya kubase kwani OEM kama samsung wanatumia soc zao za exynos ambazo huwezi pata custom rom ambazo ni based on cynogenmod zaid utapata modified stock roms. Hata htc wanatumia mediatek somehow. Kitu cha kuzingatia ni simu zenye snapdragon socs.ukitaka kuenjoy cyanogen na rom kari kama omni na zingine basi achana na tecno..tafuta brand za maana kama samsung lg htc na zingine kubwa.
mfano galaxy s2 inapata hadi cm13 ambayo ni android 6
Hii hapa cyanogenmod for exynos galaxy s6 CyanogenMod 13 for Galaxy S6Brand sio factor ya kubase kwani OEM kama samsung wanatumia soc zao za exynos ambazo huwezi pata custom rom ambazo ni based on cynogenmod zaid utapata modified stock roms. Hata htc wanatumia mediatek somehow. Kitu cha kuzingatia ni simu zenye snapdragon socs.
Umesoma page yake whats not working! Vitu kibao, na hiyo ni 8 month tangia device iwe released ndio unapata cm based rom wakati devices kama za motorola zenye snapdragon ndani ya one months zishapata custom roms. Hii ni quote ya developer mmoja kwenye hiyo page uliyonipaHii hapa cyanogenmod for exynos galaxy s6 CyanogenMod 13 for Galaxy S6
Shida wanayopata developers ni kwamba Mediateck awapendi kurelease their sources.