kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Apr 27, 2011 #1 zipo hapa Current Vacancies - African Development Bank
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Apr 27, 2011 #2 mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo...
mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo...
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,287 Apr 27, 2011 #3 cool boy.....
B Baba Jose Senior Member Joined Nov 29, 2010 Posts 159 Reaction score 27 Apr 27, 2011 #4 namna hio,asante endelea kutuja
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Apr 27, 2011 #5 Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... Hahahah nimecheka hadi bas :smile-big::smile-big::smile-big:
Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... Hahahah nimecheka hadi bas :smile-big::smile-big::smile-big:
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,420 Reaction score 4,032 Apr 27, 2011 #6 Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... du we kiboko!
Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... du we kiboko!
egbert44 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2006 Posts 382 Reaction score 59 Apr 28, 2011 #7 teh teh teh teh umenipa raha ati kumbe wanaojitia umombo kila kukicha lazima wapake salimia mdomoni!
Z zuri Member Joined Jan 25, 2011 Posts 59 Reaction score 8 Apr 28, 2011 #8 Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... Haha wewe wacha tu.........
Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... Haha wewe wacha tu.........
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Apr 28, 2011 Thread starter #9 kigogo acha kutuvunja mbavu haina haja ya viingereza man cha muhimu ujue basics tu! Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand...
kigogo acha kutuvunja mbavu haina haja ya viingereza man cha muhimu ujue basics tu! Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand...
L lesedi Member Joined Apr 11, 2011 Posts 13 Reaction score 2 Apr 28, 2011 #10 Asante ndugu yetu kwa kutujulisha , ngoja nasi tujaribu bahati yetu!
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Apr 28, 2011 #11 Nawafahamu wabongo wengi tu ADB, wenye qualifications changamkieni hizo kazi.
A ANY Member Joined Nov 3, 2010 Posts 27 Reaction score 3 Apr 29, 2011 #12 kilimasera said: zipo hapa Current Vacancies - African Development Bank Click to expand... Thank you very much for this very useful information.
kilimasera said: zipo hapa Current Vacancies - African Development Bank Click to expand... Thank you very much for this very useful information.
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Apr 29, 2011 #13 Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... Ha ha ha ha kweli kabisa yaani mpaka kichwa kinauma rafiki mavingereza yanachosha kweli yaani kha???
Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... Ha ha ha ha kweli kabisa yaani mpaka kichwa kinauma rafiki mavingereza yanachosha kweli yaani kha???
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Apr 29, 2011 Thread starter #14 jamani kiingereza cha kazini sio kama cha darasani cha kazini ni simple sana unajua hata mimi jamaa kanichekesha sana!tusikimbie au tusiogope kazi sio lugha ni umakini tu wa mtu! Dena Amsi said: Ha ha ha ha kweli kabisa yaani mpaka kichwa kinauma rafiki mavingereza yanachosha kweli yaani kha??? Click to expand...
jamani kiingereza cha kazini sio kama cha darasani cha kazini ni simple sana unajua hata mimi jamaa kanichekesha sana!tusikimbie au tusiogope kazi sio lugha ni umakini tu wa mtu! Dena Amsi said: Ha ha ha ha kweli kabisa yaani mpaka kichwa kinauma rafiki mavingereza yanachosha kweli yaani kha??? Click to expand...
wende JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 714 Reaction score 67 Apr 29, 2011 #15 Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... Kigogo,acha woga..
Kigogo said: mhh izo ngumu unatakiwa uwe una maviingereza kishenzi ...kutwa kiingereza mpka mdomo unauma nani anataka kazi ya hivo... Click to expand... Kigogo,acha woga..