I was aware that second and third round were in first come first serve cha ajabu kuna ndugu yangu aliomba Cuhas third round hawajamchagua na elegibility status ilikuwa YES!!! What went wrong?
I was aware that second and third round were in first come first serve cha ajabu kuna ndugu yangu aliomba Cuhas third round hawajamchagua na elegibility status ilikuwa YES!!! What went wrong?
atleast hapo kwenye bios na chem angekuwa na C moja ndio wangemchukua bt hivyo labda IMTU au KAIRUKI as kuna wanangu wamechaguliwa huko kwa matokeo hayo! haya bhana tukutane pale BUGANDO COMPLEX tar 12
Najua, ndio maana niliweka grade za mwisho E! Na huyo ndugu yetu huoni kuwa grades ni za mwisho mwisho, kwa medicine si rahisi. Anyway, kwa Kairuki atapokelewa maana nina wengi wa pass hizo wamepokelewa. Ni mzuri huyo PCB form six huwa ni ngumu kidogo huyo anafaa tu!Jaribu.
Najua sana. Ndio maana niliweka grade za mwisho E, nikihisi kuwa atakuwa na grade za mwisho mwisho! Na kweli ana za mwisho, kwa medicine Bugando, Muhas si rahisis. Ajaribu Kairuki na IMTU atapata!