Hicho ni chuo private, wana maamuzi yao ambayo hayakiuki muongozo wa TCU, nenda imtu au Kairuki kama unaona CUHAS wako juu au jaribu Kenya uone, nenda imtu uone wakenya walivyojaa kukwepa ada za medical school huko kwao ingawaje IMTU na Kairuki wako juu kwa ada ukilinganisha na vyuo vingine