Hivi kumbe huyu alifukuzwa uanachama .mbona CUF haina demokrasia hii
Kwani CUF imeshuka chati?Sio kuhusi democrasia matatizo ya vyama vyote hivi ni maslahi kulinda maslahi ya kibinafsi kama ilivo kwa cdm mambo ya uchaguzi na ruzuku na yeye alitaka Maalim aachie ukatibu ili watu wengine wagombee kama kina Zitto.
Ndio maana namwambia Seif Sharif be a Man na amwite wayamalize na kea hilo Cuf itapanda chati sana
Waondoe kinyongo
HRM ni mtu imara sana katika siasa za Zanzibar na Tanganyika.
Kwani CUF imeshuka chati?
Nukuu makamo m.kiti cuf mzee machano alisema ktk mkutano manzese ukishatoka ktk cuf hurudi hamad aende ktk chama chake cha adc au amfuate pinda swaiba wake machano alifungwa uhaini na hamad kutoka jela mkapa kamteua mbunge hamad hujiulizi hupati jibu hapo
Cuf na hamad Rashid biashara imekwisha, nyie malizaneni Zitto.
Habari za kuaminika hamad wawili wamekutana na kuna uwezekano mkubwa hamad rashid akarudishiwa kadi ya chama na kuwa mgimbea mwenza