Levi isaya
Member
- Apr 1, 2013
- 18
- 0
Jery slaa ni mbunge mtarajiwa wa jimbo la segerea
teh teh, kuwatumikia wananchi kwa kuwaibia watanzania?Viongozi wa ccm watadumu sana madarakani kwa sababu wanawatumikia wananchi. Wanapendwa hasa. Ccm oyee
mkuu ni silaha na sio slaa!Dogo janja, jerry slaa. Wanailala tunakukubali kwa uwajibikaji wako kwa wananchi
Wanachama wote wa cuf leo kuna mkutano mkubwa hapa gongolamboto mwisho mahali alipozaliwa, na kukua na mpaka ss anakaa huku, meya wa ilala, lengo ni kumwaga uzahifu wa meya huyu ktk kutelekeza sela za ccm. Kwan ameshindwa kabisa.mfano alihaidi kujenga ofisi za ccm huku mpaka leo hajajenga na eneo husika kulikuwa na ofisi ndogo za chama amezibomoa mda mrefu lkn ameshindwa kbisa kujenga izo ofisi. Pili amebomoa soko la g/kwalala lkn ameshindwa kulijenga lenye kiwango kama la zaman. Huku kwetu tunamuita mbomohaji asiyejua kujenga.