Exactly, kwanini isiwaachia CUF na wananchi wa zanzibar na watanganyika waamue kama ni wapinzani au la? wameolewa au la?
Taasisi kama TEC na maaskofu vilevile waache kutoa waraka kuwaelekeza waumini wapige kura mgombea fulani..hapo ndio wananchi wataamua kwa haki..bila ...
Ni kweli wananchi wana kila haki ya kuachwa waamue wenyewe ila hapo kwenye red tunarudia kosa lile lile yaani uongo. Kwa "maaskofu" wengine sijui ila kwa TEC nimesoma nyaraka zao mbalimbali sikupata hata mara moja mahali panapowataka "wakristo" kuchagua au kutochagua chama fulani bali mpiga kura mwenyewe apime na kuamua kwa usahihi ni chama na mgombea gani anayefaa kwa maendeleo ya watanzania wote.
Daima nyaraka zao ziko "neutral". Katika "kujibu mapigo", kana kwamba ni mashindano, wakati wa uchaguzi mkuu 2010 waislamu nao wakatoa wa kwao - full udini na kuwataka waislamu wasikipigie kura chama fulani. Upuuzi huu ndio usiotakiwa!
Hebu kumbuka ya Igunga kana kwamba ilikuwa ni mashindano kati ya Bakwata/CCM/CUF kwa ajili ya "maslahi ya waislamu" kwa upande mmoja dhidi Chadema ambayo haikuwa na fungate na dini yoyote kwa upande mwingine. "Upuuzi" huu ndio usiotakiwa
hebu nipe definition yako ya chama cha upinzani ..??
je kutokubaliana na CDM kina wafanya wasiwe wapinzani ...??
ama true defn. yako ya upinzani ni kukosoa kila lile linalosemwa na kufanya na serikali ....? CUF ni chama makini ndio maana wakakubali mseto wa serikali ili kuepusha vurugu kule znz kama za miaka iliyopita kwani zilikuwa hazina tija yoyote zaidi ya VIFO tu....
unafiki utakumaliza. upinzani wa cdm uko wapi. au vurugu hizo
mimi nina uhakika wafuasi wengi wa chadema ni aina fulani na kanda fulani
Na viongozi wengi wa chadema wamesoma seminary za kikatoliki
Sasa chadema ifanyeje????
Chma cha CUF ni chama kilchotokea kuw maarufu sn tz! Hivi sasa tumeshuhudia unafiki mkubwa wa wabunge wake kukishambulia chama kikuu cha upinzan cdm!prof lipumba amepotea kisiasa,hata hasikiki tena.ni chama kilchokuw kinadai pia maandamano kutetea maslah y taifa.
Je watz wameshapata haki zao? Au maslahi yalikuwa ya kina Sharif Hamad! Je bado ni chama cha upinzani Au cha kinafiki?
Niendelee kubaki CUF?
hebu nipe definition yako ya chama cha upinzani ..??
je kutokubaliana na CDM kina wafanya wasiwe wapinzani ...??
ama true defn. yako ya upinzani ni kukosoa kila lile linalosemwa na kufanya na serikali ....? CUF ni chama makini ndio maana wakakubali mseto wa serikali ili kuepusha vurugu kule znz kama za miaka iliyopita kwani zilikuwa hazina tija yoyote zaidi ya VIFO tu....
mimi nina uhakika wafuasi wengi wa chadema ni aina fulani na kanda fulani
Na viongozi wengi wa chadema wamesoma seminary za kikatoliki
Sasa chadema ifanyeje????
Mwanamke hawezi kuwa mpinzani wa ndoa yake mwenyewe. CUF ni mke wa CCM atakuwaje mpinzani katika hiyo ndoa yao?Chma cha CUF ni chama kilchotokea kuw maarufu sn tz! Hivi sasa tumeshuhudia unafiki mkubwa wa wabunge wake kukishambulia chama kikuu cha upinzan cdm!prof lipumba amepotea kisiasa,hata hasikiki tena.ni chama kilchokuw kinadai pia maandamano kutetea maslah y taifa.
Je watz wameshapata haki zao? Au maslahi yalikuwa ya kina Sharif Hamad! Je bado ni chama cha upinzani Au cha kinafiki?
Niendelee kubaki CUF?