Chauma pia umesikia? Ya kweli haya?Nimesikia taarifa nyingi kutoka kwa vya tofauti kuhusu watia nia wao kwa ngazi zote ila sio CUF. ACT, CCM, CHADEMA, CHAUMA, NCCR, TLP na vyenginevyo ila CUF sijapata kuisikia
Yule Mtatiro aliyehama Chadema naye hagombei tena ?Lipumba ameshakibemenda hiki chama
Chauma Rungwe anagombea urais kwa sera ya ubwabwa kwa woteChauma pia umesikia? Ya kweli haya?
Namkubali saana huyu mwamba?Hashim Rungwe ameshachukua fomu ya urais muda sasa anasubiri mapambano tuu
Kwanini unamkubali mkuu?Namkubali saana huyu mwamba?
Sababu anaongeaga vitu vizito kwa lugha nyepesi ambavyo wenye akili ndogo hawamwelewi. Anazungumzia welfare state matters ambazo zimezifanikisha Scandinavian countries kufika mafanikio ya kimaisha katika lugha complex kidogo na wachache saana tunamwelewa.Kwanini unamkubali mkuu?
Wana wasubiri wenzao CCM waungane kwenye kampeniHabari zenu waungwana.
Naomba kuulizia kuhusu watia nia wa Chama cha Wananchi CUF. Sijasikia taarifa yoyote kutoka katika vyombo vya habari kuhusu wachukua fomu za Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani au mara hii CUF imeamua kuunga mkono juhudi za Chama chengine. Kama ndivyo kwa nini wasitoe taarifa angalau sisi wananchi tukaelewa msimamo wa chama kitaifa.
Nimesikia taarifa nyingi kutoka kwa vya tofauti kuhusu watia nia wao kwa ngazi zote ila sio CUF. ACT, CCM, CHADEMA, CHAUMA, NCCR, TLP na vyenginevyo ila CUF sijapata kuisikia au ni mimi ndio sijasikia taarifa za watia nia wa CUF. Kama kuna taarifa zozote za watia nia kuhusu chama cha wananchi CUF tujuzane waungwana.
Ahsante
Natangukiza Shukran kwa wale waungwana watakao amua kuweka taarifa kuhusu watia nia wa CUF.