Mkondakaiye JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 838 Reaction score 175 Jan 5, 2012 #21 HR kesha fukuzwa toeni tamko lingine
L Losemo Senior Member Joined Mar 30, 2010 Posts 183 Reaction score 33 Jan 5, 2012 #22 Jamani mm bado naota ndoto za mchana ila. Hawa wamedhubutu ingawa hoja ni nyepesi sana. Vipi wenzetu na watuhumiwa ambao wako dhahiri kabisa? (magamba) Hawana ujasiri hata kdg walau wa kujaribu na wao ndio wanaoongoza njia? Kweli uongozi kazi
Jamani mm bado naota ndoto za mchana ila. Hawa wamedhubutu ingawa hoja ni nyepesi sana. Vipi wenzetu na watuhumiwa ambao wako dhahiri kabisa? (magamba) Hawana ujasiri hata kdg walau wa kujaribu na wao ndio wanaoongoza njia? Kweli uongozi kazi