Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
Sawa naamini nitapata mtu sahihi wakunielewsha lakin pia akitokea mpigaji naye akifanikisha nitaita good jobUnatafuta kwa bidii kupigwa
Yale Yale ya Forex na kijana smart Ontario!Mkuu Unatafuta kwa bidii kupigwa.
Nina amini katika kufanya kazi na uzalishaji mali baas.
Fuatilia utajua mkuuCRYOTOCURRENCY, ndiyo nini??
Everyday is Saturday............................... 😎
Fuatilia utafaham mkuu hata mm nilikuwa sifaham Ila nilipojua nikasema Ni sehem sahihi Ila wengi wanaamin Ni wiziYaani hii kitu uwa najaribu kuielewa hafu nashindwa.
Upo sawa mkuu hupaswi kupigwa hayo Ni mawazo yako piaUkitaka kupoteza pesa yako ,ww fanya hayo mabit con ,sijui prit coton ,wana badili badili majina ila jamii ni hiyo hiyo ,hautakuja kuamini ,kwanza wanaohubiri hizo habari wengi nimewafatilia ni vishazi Tegemezi ,wanaishi kwa mashemeji ,wanadhani kufanikiwa ni kuamka umekuwa Tajiri ,mara sijui kumine bitcone ,ingekuwa hivyo mabilionea wasingewekeza katika migodi ya madini ya kawaida ,Hakuna njia ya mafanikio rahic labda uuze unga ...
Inahitaji muda kujifunza, sio week moja unaweka pesaYaani hii kitu uwa najaribu kuielewa hafu nashindwa.
Hayo mapori ni bure?Hii nchi imebarikiwa na mapori makubwa. Unaweza ukasafir zaidi ya kilomita 500 ukakutana na mapori tu yasiyoendelezwa lakini vijana mnakimbilia kwenye Bitcoin cryotocurrency. Kama taifa tunaelekea wapi?
Hakuna biashara isiyokuwa na changamoto bro chukulia Ni sehem ya changamoto na hvyo wataalam wanakushaur uinvest kias ambacho unaweza kukipoteza,!Swali langu kwako ni hili: Hivi karibuni kumetokea na wimbi la udukuzi katika baadhi ya wallet iliyopelekea watu wengi kupoteza kiasi kikubwa cha pesa. Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa news, kuna vijana wadogo wawili wamepiga zaidi ya btc 69,000 kutoka kwenye wallet na kutokomea nazo huko South Africa, ukiachilia mbali na hilo, majuzi hapa huko Japan Zimepigwa takribani U$ 100M.
Je, wizi huu unaokuwa kwa kasi kutokana na mabadiliko ya kiteknojia kwa upande wa sarafu za mitandao, huoni kwamba inaleta uzito kwa baadhi ya watu kuwekeza muda na fedha katika biashara ambayo inaweza kuwaweka katika hasara kubwa ndani ya muda mfupi? Na kingine ni hatua gani zinazotakiwa kuchuliwa pindi mtu anapotaka ku-mine hizi cryptocurrency na kuzitunza katika wallet yake?
Nawasilisha
Hata mwaka huu ilishuka sana hadi 76milion saiv umepanda SanaMarch 2020 BTC Ilishuka hadi 11M/BTC kwa mjanja aliyenunua then akasubiri for only 8 Months alikuja withdraw ~147M.
As we speak iko million 111Hata mwaka huu ilishuka sana hadi 76milion saiv umepanda Sana
Mfano ukataka kumilik litcoin localbitcoin unaipataje mkuu tupeane mbinuBinafsi sionagi umuhimu wa kutumia Wallet....Niko safe na Localbitcoins
Huenda very soon mining ikaanza kufanyika Tanzania, tuombe Uzima kuna jamaa wawili wanataka kuwekeza humoMining ni mziki mnene hasa kwa Issue ya Power, kwa TZ ni ngum sana kufanya + costful. Sikushauri.