Wanakuwa wameyapatia kwa level yao.. unaeza endasha Range Rover .. na ukakuta mwingine anaendesha Bentley Continental GT , mwingine utamkuta na Rolls Royce na mwingine πππ Heshimu na kushukuru kwa level uliyo nayo.. na heshimu kila mtu katika level aliyo nayo maana huwezi jua ametumia nguvu gani kupata hiyo gari ..