Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,517
- 9,452
Mkuu,Kumbe yapo vizuri
Sent
[emoji849][emoji849][emoji849]...nitajipanga niandae thread maalumu ya matumizi ya oil sahihi kwa gari lako...Exactly!
Hata Carina Ti kupata hiyo fuel efficiency gari iwe maintained kuliko π€£π€£π€£
Mm natumia Crown huu ni mwaka wa tatu. Sipo hapa kupiga porojoHata Carina Ti kupata hiyo fuel efficiency gari iwe maintained kuliko π€£π€£π€£
Ahsante chief kwa elimu nzuriMkuu kwa Toyota hizo injini Power haipimwi kwa code au herufi.
Ngoja nikupe mfano kwenye injini za Petrol kuna code ya A, E, F, Y, M, J na S. Mfano kwenye A kuna 5A na 7A hizi zimetumika kwenye Corolla, Carina,Sprinter na ni 4-cylinder hazina turbo. Nyingine ni 3s, 5s, 3F, 2Y, 3Y
Injini za Toyota za 6-cylinder ni 1JZ,1G na 1M, 2M...
Sijasema unapiga porojo Kaka,but I assure you Crown non hybrid haiwezi kuwa na fuel efficiency ambayo ni the same to Carina believe me!Mm natumia Crown huu ni mwaka wa tatu. Sipo hapa kupiga porojo
Hawa Jamaa walifanya tafiti kwa watumiaji wa Crown wakapata matokeo haya:-Sijasema unapiga porojo Kaka,but I assure you Crown non hybrid haiwezi kuwa na fuel efficiency ambayo ni the same to Carina believe me!
Crown ingekuwa na efficiency hiyo watu wangefanyia Uberπππ-Sababu ina comfortability kubwa-why on earth can someone buy Carina or Ist and not Crown while they are having the same fuel efficiency with crown having more luxury features and power?Just a simple logical question I am trying to ask my self
Na Jambo la kuzingatia ni kwamba fuel efficiency ya gari jipya ni tofauti na Used car. Kupata fuel efficiency ambayo mjapani ali declare kwa brand new car kwenye the same car lililotumiwa 20yrs later ni nearly impossible!na majority yetu Ss watanzania hatu afford kuyanunua.Hawa Jamaa walifanya tafiti kwa watumiaji wa Crown wakapata matokeo haya:-
Average fuel consumption Toyota Crown 2.5i V6 24V (200 Hp) 1999-2017...
Brevis SI gari Bali unanunua ugonjwa. Uandae tu Bima ya Afya ya kliniki ya moyo Muhimbili JKCIWanaonunua crown wana hela so hawezi kuja lalamika mafuta, brevis ya kila mtu kutokana na bei yake kua chini
Brevis SI gari Bali unanunua ugonjwa. Uandae tu Bima ya Afya ta klinik ya moyo Muhimbili JKCI
2017 kwa madalali pale round about ya Mlimani City[emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana mzee baba, ulinunua lini Brevis mzee ??
JjjjjSi kweli, engine ya crown ipo very optimized asa ktk ulaji wa mafuta
Fuga kwikwi ipo kwenye speaMBONA SI MSIKII FUGA mjin πππ
Mmmh!Nina jamaa yang anafanya mishe mererani huko Mgodini. Yeye anatumia Mark-X na uendeshaji wake ni huo wa hapa na hapo tu yuko 80km/h! RPM zake ndo hizo 1-4 ila mnyama unafunguka hatari yani ukipanda ile gari kama una moyo mwepesi utaomba kushuka. Huwa akitimba mda anaotumia Moshi-Arusha hapo road ni 30mins tu.
mshaaanzaFuga kwikwi ipo kwenye spea
Jaribu uone, shock-up @ 1 kuambiwa laki 4=kitu Cha kawaida Sana.mshaaanza
5W-30
20W-50 INAFAA?Hata 10W-30 si mbaya.