Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,288
Mkuu hapo Kwenye utumiaji wa oil ni vituko tupu Kwa wamiliki wa Magari nikiwemo Mimi pia.technology
crown za kuanzia model of 2005 zinatumia GR series of engine
brevis yeye anatumia the old 6 inline configuration JZ series of engine...
raha ya arthlete uwe masafa marefu ndo utaenjoi ila hapa hapa town haina tofauti na subaru xt,ninaipenda hyo gari sana but kwenye mafuta inakula si kitoto,usidanganye wenzio,maana tunazo but mjini tunatumia vitz na ist hzo tunatembelea for special toursSi kweli, engine ya crown ipo very optimized asa ktk ulaji wa mafuta
Eti inakula si kitoto!!!, itoshe kusema acha kupotosha watu Bwaa shee, nilijua unatoa technical reasons kumbe unaleta porojo tu. 4GR, 3GR ni engine iliyokuwa improved sana asa ktk ulaji wa mafuta, all mechanics wanazungumza hivyo. Huu ni mwaka wa tatu sasa natembelea Crown, nishakuwa na Royal na sasa ninayo Athlete, na kabla sijaingia ktk ulimwengu wa Crown nilishafanya study ya hali ya juu kuhusu hizo gari nishatembelea forums nyingi za car mechanics,raha ya arthlete uwe masafa marefu ndo utaenjoi ila hapa hapa town haina tofauti na subaru xt,ninaipenda hyo gari sana but kwenye mafuta inakula si kitoto,usidanganye wenzio,maana tunazo but mjini tunatumia vitz na ist hzo tunatembelea for special tours
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Ni kweli 😆Hahaha watu wenye Crown bhana [emoji16][emoji16][emoji16]....! Mnajionaga mnamiliki ndege vile
Ni kweli [emoji38]
kuna dogo mmoja nimemkumbuka, yan yeye alikuwa anapaki mbali kabisa tofauti na wengine. Ukimuuliza kwanini anafanya vile anajibu crown ni mnyama simba hawezi kuchangamana na swala
on serious note , unapata average ya km ngapi kwa lita ya mafuta, ?Eti inakula si kitoto!!!, itoshe kusema acha kupotosha watu Bwaa shee, nilijua unatoa technical reasons kumbe unaleta porojo tu. 4GR, 3GR ni engine iliyokuwa improved sana asa ktk ulaji wa mafuta, all mechanics wanazungumza hivyo...
Mkuu 1nz inatakiwa uweke oil ipiWatu wana 1nz, 2nz lakini wanaweka 20w-50 hahaha
5W-30Mkuu 1nz inatakiwa uweke oil ipi
Asante5W-30
Engine 4GR napata 14km nikiwa highway na 10km nikiwa ktk safari za mjini.on serious note, unapata average ya km ngapi kwa lita ya mafuta, ?
naomba nitajie na aina ya engine unayotumia, utanisaidia sana
mzee km 4 au 14?Kuna moja 2GR Lina 3,400cc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Jamaa lilikuwa linampa 4.1km/l. Mafuta ya 20,000 daily na Ana mshahara wa milioni moja.
Kapiga chini yuko premio.
Kumbe yapo vizuriEngine 4GR napata 14km nikiwa highway na 10km nikiwa ktk safari za mjini.
kwamba brevis sio comfortable?Lakini hizi engine za 1JZ na 2 JZ zina nguvu Sana pia zinachanganya mapema mno. Hata ulaji wa mafuta Kati ya brevis na crown unafanana Tu isipokuwa crown zinapendwa Tu kutokana na comfortability, luxury na performance
Hamnaga engine za gari za hivyo kwa toyota mzee🤣🤣🤣Hii mambo ya Engine za 1R, 2R 3R 4R 5R 6R na 1 Hz, 1Jz na zinginezo zinatumika kutambua kitu gani kwenye hizi parameter
Utumiaji wa mafuta.
Uwezo wa gari (Power).
Na vinginevyo..!
Hata brevis pia IPO comfortable Ila wabongo wakishapenda Aina Fulani ya Magari kila sifa wataipakwamba brevis sio comfortable?
Hamnaga engine za gari za hivyo kwa toyota mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu 10,000/- ni Lita karibu 6. Ili kupata km 30 inabidi consumption iwe 1L/5km. Wewe mafuta ya 10,000/- unategemea km ngapi? 10km?Eti inakula si kitoto!!!, itoshe kusema acha kupotosha watu Bwaa shee, nilijua unatoa technical reasons kumbe unaleta porojo tu. 4GR, 3GR ni engine iliyokuwa improved sana asa ktk ulaji wa mafuta, all mechanics wanazungumza hivyo. Huu ni mwaka wa tatu sasa natembelea Crown, nishakuwa na Royal na sasa ninayo Athlete, na kabla sijaingia ktk ulimwengu wa Crown nilishafanya study ya hali ya juu kuhusu hizo gari nishatembelea forums nyingi za car mechanics,
Nishawahoji mafundi zaidi ya kumi kabla sijafanya maamuzi ya kuagiza na study yangu ilimulika mechanical problems, perfomance & effiecency, fuel consumption and dulability. Sina cha kudanganya jombaa ktk ulimwengu huu wa teknolojia na uwazi, na hakuna cha kudanganywa unless wewe mwenyewe upende kudanganywa. Ila kama fikra zako ni kupata km 30 kwa mafuta ya elfu 10,000 hapo lazima utaona inakula mafuta!!