Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Kwahiyo na hii miji ya Lyman,Grostov,Astorostinvol,Kramatosk,Mykolyv,Dostov ambayo imechukuliwa na Majeshi ya Ukraine nayo imenyakuliwa na Urusi kwa zile sherehe za Kremlin?Pamoja na kuwashukuru watoa misaada kwa Uikrane mikoa minne imetembea mileleeeee[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kituko cha mwaka. Yani unapiga Kura kuhalalisha ardhi ambayo bado hujaichukua?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo na hii miji ya Lyman,Grostov,Astorostinvol,Kramatosk,Mykolyv,Dostov ambayo imechukuliwa na Majeshi ya Ukraine nayo imenyakuliwa na Urusi kwa zile sherehe za Kremlin?
Unapigaje Kura ya maoini kunyakua Ardhi ambayo Majeshi yako yanarudishwa nyuma na kuiachia miji hiyo?
Namna kituo cha kufungia mwaka kama hiki askari zako wakati na nduki mapambanoni wewe unakunywa Vodka Moscow na kuangusha Sherehe kuchukua mikoa milelePamoja na kuwashukuru watoa misaada kwa Uikrane mikoa minne imetembea mileleeeee[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlisahau "Na log off z"Namna kituo cha kufungia mwaka kama hiki askari zako wakati na nduki mapambanoni wewe unakunywa Vodka Moscow na kuangusha Sherehe kuchukua mikoa milele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Urusi kama Mandonga akipigwa kapiga na aking'ata ndo amepiga
Kile Marekani wanamfanyia Urusi hakuna mtu anakielewa. Yani hii ni sawa na ugomvi wa kaka na wadogo zake alafu anawafunza adabu. Ameambiwa amalize kuilipua Ukraine ila atalipwa ma trillion ya pesa vizazi na vizazi.. at that time mwamba atakuwa ameshakufa.... Yani watanyonya gas yake bure kwa miaka na miaka.. yaniiiii... Putin kweli PutinBaada ya kuitwaa Crimea Mnamo mwaka wa 2014 , Putin si akanogewa , kama waswahili wanavyosema Simba akionja nyama ya binadamu haanji , Baba fisi Putin si akaona aichukue Ukraine nzima , akaanza na pale Kyiv mji mkuu , wanajeshi wote wa miavuli kiliangamizwa pale uwanja wa ndege . Vita vya siku tatu vimechukua miezi 8.
Nashukuru misaada inayotolewa na Taifa tukufu la USA PAMOJA NA NATO BILA KUSAHAU SILAHA YETU PENDWA HIMARS NA JUVENAL SILAHA YA KG 12 PUTIN AKIISIKIA MAVI YANAGONGA CHUPI NA KURUDI NDANI.
Week mbili zijazo utasikia mwanajeshi wa Russia amemuondoa Kaputini.,Bila kumsahau MK CODE NUMBER ±254 HONGERA ZAKE BOSS.
View attachment 2375873View attachment 2375875
Mi mwenyewe nimeshangaa, mtoa mada ana mahaba ya kishamba, USA wamezoea kutumia NATO kuwaonea waafrika na waarabu, kwa mwamba ameshindwa na atashindwa zaidiPamoja na kuwashukuru watoa misaada kwa Uikrane mikoa minne imetembea mileleeeee[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app