Credit fund Mikopo on line

Credit fund Mikopo on line

Joined
May 10, 2012
Posts
29
Reaction score
3
Habari wakuu
Kuna haka ka kitu kapo fb na pia play store wana app inaitwa credit fund.. Wanasema wao wanatoa Mikopo,,unaweka akiba then ndo unakopa...
Nilikua naomba kujua anae wafahamu hawa jamaa coz nahic wezi hivi ,ni rahic mno kupata Mikopo mpaka inatia shaka ...wanasema ofisi zao zipo dar kigamboni
 
Nasubiri nami nisikie toka kwa wadau maana naona kama kichekesho terms zao za kuomba mkopo😵😵😵😵😵😵😵
 
Kwa wanaohitaji mikopo ya dharura karibuni katika kampuni yetu tukuhudumie tupo DAR na Arusha
 
Back
Top Bottom