Creating custom animated avatar- toa ushauri

Zing

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
1,767
Reaction score
470
Wadau na hasa wataalam wa mambo ya graphics nimewai kuleta hoja hii kwa kuwa sikufanikiwa leo narudi tena tena kwa ushauri

Katika kujifunza, kufanya na kujaribu mambo kwa vitendo napenda nitengeneze simple animated text- based avatar. ( eg jina zing linacheza cheza)

Sasa sababu sina utaalam sana na mambo ya graphics lakini mkinipa link yenye resources nzuri au maelekezo safi basi natangalizha shukrani.

Kifupi nipeni njia, mbinu na nyezo zinazohitajika ili niweze kutengneza za avatar yangu inayocheza cheza

NB.
Ingawa naendela ku google lakini kwa mzoefu yeyote akinipa input ya practical experince na uzoefu wake itasaidia.

Nawasilisha
 
Wataaaalm wa graphics na animation kimya.

Simple avatar yenye neno zing inayocheza cheza cheza.Nini nahitaji. Toeni darasa please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…