CRDB Mbezi Luis mjitathmini

ni wengi sana huwa nawaskia wanamlalamikia, na malalamiko ya aina hii wanayajua fika. Kinachonishangaza ni yeye kuendelea kua front desk pale baada ya malalamiko ya kila siku ya wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni wengi sana huwa nawaskia wanamlalamikia, na malalamiko ya aina hii wanayajua fika. Kinachonishangaza ni yeye kuendelea kua front desk pale baada ya malalamiko ya kila siku ya wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ni ishu ya meneja
Ama wanahisi pale front desk ni parahisi so kwa ukilaza wake panamfaa,ila wanashindwa elewa front desk ni taswira ya ofisi yoyote,ukiweka kilaza wote mtaonekana hopeless
Kama wanasoma wamtoe hapo,wamweke hata kwenye kupanga files na kupikia chai wafanyakazi wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa kukwazwa
 
Yes,hatuhitaj roho mbaya ama nzuri yake,Mteja anastahili Huduma nzuri,ni haki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa yao ni kutengeneza scene ( unamfungia mtaa hapo benki) mpaka Maneja atoke huko alikojifugia. Ulivyoondoka kimyakimya hawawezi kujifunza (labda kwa kuwa wanapita humu). Siku nyingine ukifika pale utahudumiwa fasta maana wote watakukariri na kujua "shughuli" yako.
 
Sawa lakin Huduma nzuri na kwa wakati ni haki ya Mteja
Sasa kila mtu akifanya scene si itakuwa balaa,wajirekebishe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…