The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Habari za mchana wanaJf
Leo kwenye saa 4 asubuh,nilikwenda benki ya Crdb tawi la mbezi Luis kushughulikia miamala kadhaa ya kibenki.
Nikaanzia mapokezi pale ambapo pamoja na kuwa na PC tatu za customer care,alikuwepo binti mmoja tu akitoa huduma.
Kilichofanya nilete uzi huu ni kuwa ,that girl is too dumb.Am sorry to say that.Yaani ishu ndogo tu ya kumsikiliza mteja, kutambua hitaj la Mteja na kumwelekeza sehemu sahii inamchukua more than 1 hour.
Customer care anapaswa kuwa mtu smart na mwenye uelewa mkubwa wa ishu za kampuni husika.Msituwekee wenye vicertificate ama vidiploma vya pichu mapokezi/reception.Mnajiharihia hadi brand zenu kwa upuuz huo.
Nililotaka Fanya benki nimeghair kwa Leo for sure .Kwan sidhan kama ni busara uniweke nimesimama customer care zaid ya saa moja kwa ishu ya kutatuliwa ndani ya 10 minutes. Halafu wakenya wakija chukua ajira bongo tunaanza kulialia bila mpango.Tubadilike jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes hako hakoAcha ushamba wewee.. Washamba wanajulikana wote waporipori na huyu bint I sio mkaskaz maana wa huko wanajielewa na wanapiga kazi sana.. Kabint ni kakanda yenu..keusi kafupi na issue meneja wao.. Yawezekana ana mambo na wafanyakazi wake maana hata wateja wanapolalamika anabaki kutoa macho tu.. Nimeshuhudia mwenyewe mara kadhaa nikiwa bank hiyo
Sasa genta nikapigane bank kwel?si nitaonekana mkorofi hata kama mie nimekwazwa ila wajirekebishe.Tunaongea kwenye forum kama hizi watambue makosa halafu wayafanyie kazi.
Mwenyezi Mungu ametupa Mikono na Vichwa ili wakati mwingine tunapokwazwa na Wachache basi tuitumie kwa Kuwapiga Ngumi au Kuwapiga Vichwa na siyo tuache Kufanya hivyo na matokeo yake tunakuja tu Kulalamika huku Mitandaoni. Siku zingine usirudie tena hilo Kosa tafadhali sawa?
Ishu siyo utuUtu hausomewi unaweza kuwa na master ila bado ukachemka na makaratasi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok vyovyote itavyokuwa
Tulikuwa watu kibao katupanga bila sababu ya msingi,nikaona nijiondokee tu nisijeleta dhahama bulee.Pole sana, mimi huwaga nawaambia tuu hapohapo, sinaga kusepa kimyakimya aisee nina element za uhaya yaani black ad white.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes siyo zoteits true mbezi ni majanga , mbaya zaidi ni pale ambapo atm zote hazifanyi kazi na ijumaa na hapo sometimes pesa hawaweki!! sasa atm za nini? na kuhusu suala la customer care long way to go, ila pale kijitonyama wako vizuri!! sio branch zote mkuu
Kwa jinsi nilivyokuwa nimefura nilijiondokea tu,ila nadhan watasoma na kulifanyia kazi hili.Tatizo apo ni kufanya kaz kwa mazoea, ukuchukua hatua yoyote apo ata ku-report kwa manager apewe onvyo , ama anadhan bank inajiendesha bila wateja .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa genta nikapigane bank kwel?si nitaonekana mkorofi hata kama mie nimekwazwa ila wajirekebishe.Tunaongea kwenye forum kama hizi watambue makosa halafu wayafanyie kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaahUngempa tu Ngumi au Kichwa Kitakatifu ili kupitia Yeye wengine wakiona watajirekebisha. Umeniangusha sana Mkuu Siku zingine usirudie tena.
Hahahah unanitafutia kesi buleeHapa umenifurahisha Mkuu. Napenda sana Mtu Mbabe Mbabe na asiyeremba Upuuzi wowote kama huo uliokutokea.
Yule hana uwezo,trust meYule dada mfupi mweusi ana dharau sana, kanajiona kekiii kenyewe, kumbe kabovu tuu. kama ulivyosema ishu ya dakika 0 tuu anakugandisha pale kama hakuoni yani. Itakua analiwa na meneja wa lile tawi, ndo maana analeta dharau bila kuwajibishwa. kuna siku nimechoka zangu akaniletea za kuleta, nikazinguana nae mpaka yule mama askari akaingilia nkahudumiwa chap nkasepa zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio UTU. Utu ni uamuzi, ila huduma nzuri kwenye biashara ZINASOMEWA, zinapatikana kwa uzoefu na zinaweza kuwa enforced mahali pa kazi kwa KANUNI na TARATIBU madhubuti. Hata mtu awe na roho mbaya vipi, huduma nzuri kwa mteja ni HAKI yake.Utu hausomewi unaweza kuwa na master ila bado ukachemka na makaratasi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app