CRDB kama mmefulia mtuambie, mikopo yenu siku hizi inasuasua sana

mliverpool

JF-Expert Member
Jan 6, 2015
1,507
2,832
Utoaji wenu wa pesa umekiwa wa shida sana siki hizi, hata kwa MIKOPO ambayo risk yake ni ndogo kama wafanyakazi, staff wenzangu walienda miezi miwili iliyopita iliwachukua zaidi ya mwezi kuwekewa hela huku wakipewa kisingizio cha system, na mimi nikasema nikakwapue nilainishe vyuma mwanzo wa mwaka huu napewa kisingizio kilekile, namaliza mwezi sasa

Hivi mnajua idadi ya benki zinazopishana kwenye makorido ya maofisi ya umma kutafuta wakopaji?

Kama MMEFULIA mtoe tamko, au mpeni mkataba Kimei awasaidie maana bwana Nsekela mambo yanamuia magumu.
 
Crdb syo ile benk iliyokua chini ya kimei, huyu dogo anaua crdb.
Miaka mitano ijayo itakua chini ya benk kuu kama zilivyo china commercial bank nk
Utoaji wenu wa pesa umekiwa wa shida sana siki hizi, hata kwa MIKOPO ambayo risk yake ni ndogo kama wafanyakazi, staff wenzangu walienda miezi miwili iliyopita iliwachukua zaidi ya mwezi kuwekewa hela huku wakipewa kisingizio cha system, na mimi nikasema nikakwapue nilainishe vyuma mwanzo wa mwaka huu napewa kisingizio kilekile, namaliza mwezi sasa

Hivi mnajua idadi ya benki zinazopishana kwenye makorido ya maofisi ya umma kutafuta wakopaji?

Kama MMEFULIA mtoe tamko, au mpeni mkataba Kimei awasaidie maana bwana Nsekela mambo yanamuia magumu.
 
Mimi niliomba mkopo toka February lakini sikupata, matokeo yake nimekatwa mshahara na mkopo hawajanipa, nawaza nifanye nini, nikiwauliza hawa ipatii majbu ya kueleweka!
Mweleze afisa utumishi wako hakika atakusaidia
 
Mimi niliomba mkopo toka February lakini sikupata, matokeo yake nimekatwa mshahara na mkopo hawajanipa, nawaza nifanye nini, nikiwauliza hawa ipatii majbu ya kueleweka!
Tafuta mwanasheria atakupa barua kali ya kuwapelekea hao CRDB.
 
Mimi niliomba mkopo toka February lakini sikupata, matokeo yake nimekatwa mshahara na mkopo hawajanipa, nawaza nifanye nini, nikiwauliza hawa ipatii majbu ya kueleweka!
Hawa nenda kwa meneja wa branch waambie unalipeleka lalamiko lako, B.o.T.
Uhuni huo! System system. Anayeipa data system ni binadamu, sasa binadamu wa CRDB hawapo efficient wala competent.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom