Dupe JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 1,668 Reaction score 813 Jan 1, 2016 #1 CRDB huduma za Sim banking zimekuwa kero wateja, unataka kitoa hela unajibiwa hauna fedha za kutosha wakati mtu salio unalo hii sio mara ya kwanza naona haya matatizo yenu sijui lini mutakuja kukaa sawa na system zenu hizo
CRDB huduma za Sim banking zimekuwa kero wateja, unataka kitoa hela unajibiwa hauna fedha za kutosha wakati mtu salio unalo hii sio mara ya kwanza naona haya matatizo yenu sijui lini mutakuja kukaa sawa na system zenu hizo
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,015 Reaction score 6,246 Jan 1, 2016 #2 Wanakera sana. Ukitaka kuitumia unaanza kusali sala ya Baba Yetu ili ukute inafanya kazi. Ni jambo la kawaida sana kukuta haifanyi kazi hiyo huduma yao. Pumba kabisa hawa.
Wanakera sana. Ukitaka kuitumia unaanza kusali sala ya Baba Yetu ili ukute inafanya kazi. Ni jambo la kawaida sana kukuta haifanyi kazi hiyo huduma yao. Pumba kabisa hawa.
Dupe JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 1,668 Reaction score 813 Jan 1, 2016 Thread starter #3 Sumu said: Wanakera sana. Ukitaka kuitumia unaanza kusali sala ya Baba Yetu ili ukute inafanya kazi. Ni jambo la kawaida sana kukuta haifanyi kazi hiyo huduma yao. Pumba kabisa hawa. Click to expand... Yani we acha tu mkuu yani saa nyingine unaharaka zako na eneo ulilopo haupati atm wala branch hawana unategea hii alafu inakuzingua tena
Sumu said: Wanakera sana. Ukitaka kuitumia unaanza kusali sala ya Baba Yetu ili ukute inafanya kazi. Ni jambo la kawaida sana kukuta haifanyi kazi hiyo huduma yao. Pumba kabisa hawa. Click to expand... Yani we acha tu mkuu yani saa nyingine unaharaka zako na eneo ulilopo haupati atm wala branch hawana unategea hii alafu inakuzingua tena