CRDB Fahari Huduma ni shida

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Mara kadhaa napopita kwa mawakala wa hii huduma huku kitaani kwangu, unakuta wakala anakuambia hana flot mara flot ndogo na visababu vingine kibao, mwisho wa siku hupati huduma.

Sasa nimekuwa najiuliza kuna tatizo gani kati ya hawa mawakala na CRDB au mawakala wanawapa kidogo au kuna nini hasa wateja tunapata usumbufu hivi? CRDB mlishughulikie hili wateja tunasumbuka sana.
 
Ni ShiiiiiiiiiiiiiiiiiDA, mi nakutana na wengi wanasema hawajaunganishwa na Simbanking kwa hiyo niwape ATM sasa nikiwa ATM Card si ningeenda kwenye ATM machine hawajielewi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…